Giorgos Seferis : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
(Hakuna tofauti)

Pitio la 15:14, 6 Novemba 2006

George Seferis (13 Machi, 190020 Septemba, 1971) alikuwa mwanasiasa na mshairi kutoka nchi ya Ugiriki. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giorgios Stylianou Seferiades. Miaka ya 1957-1962 alikuwa balozi Mgiriki kwa Uingereza. Mwaka wa 1963 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.