Swala : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Swara umesogezwa hapa Swala: Ndio uandishi rasmi, 'l' badala ya 'r'.
No edit summary
Mstari 1:
{{Uainishaji
[[Image:Thompson's Gazelle.jpg|thumbnail|280px|Swala tomi]]
| rangi = pink
| jina = Swala
| picha = Thompson's Gazelle.jpg
| upana wa picha = 200px
| maelezo_ya_picha = Swala tomi <br /><sup>(Thompsons gazelle)</sup>
| domeni =
| himaya = [[Mnyama|Animalia]] (Wanyama)
| faila = [[Chordata]] (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
| ngeli = [[Mamalia]] (wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
| oda = Artiodactyla (wanyama wenye vidole viwili au vinne mguuni)
| oda_ya_chini =
| familia_ya_juu =
| familia = Bovidae (Gray, 1821)
| nusufamilia = Antilopinae
| jenasi = Gazella
| spishi =
| nususpishi =
}}
 
'''Swala''' ni [[mnyama]] katika jamii ya wanyama walao [[nyasi]]. Hupatikana katika maeneo yeye nyasi fupi fupi na vichaka vifupi fupi hasa kwenye maeneo mengi ya hifadhi katika Afrika, mnyama huyu hukimbia kilometa 80 kwa saa na anao uwezo wa kuruka mita 7 hadi 8 juu akiwa kwenye kasi. Rangi yake ni ya udongo na njeupe kidogo kwenye koromeo na sehemu ya chini ya mkia. Maadui zake wakubwa ni [[simba]], [[chatu]] na [[chui]].