Tofauti kati ya marekesbisho "Hifadhi ya Serengeti"

1 byte removed ,  miaka 11 iliyopita
K
(Fisi)
(K)
'''Hifadhi ya Serengeti''' ni eneo kubwa la savana na misitu katika Tanzania ya kaskazini hasa katika mikoa ya [[Mkoa wa Mara|Mara]] na [[Mkoa wa Arusha|Arusha]] ikipakana na [[Kenya]]. Eneo lake ni 14,763 [[km²]] na kijiografia inaendelea ndani ya Kenya inapoitwa [[Hifadhi ya Masai Mara]].
 
Kuna idadi kuba ya wanyama wa pori. Serengeti pamoja na Masai Mara inajulikana hasa kwa uhamisho wa kila mwaka wa zaidi ya milioni moja ya [[nyumbu]] wanaovuka mto Mara. Kuna pia aini nyingi nyingine za wanyama kati yao "watano wakubwa" wanaovuta watalii hasa yaani [[tembo]], [[simba]], [[chui]], [[fisi]], [[kifaru]] na [[nyati]].
 
Eneo la hifadhi ya [[Ngorongoro]] liliwahi kuwa sehemu ya Serengeti hadi kutengwa kama hifadhi ya pekee. Bonde la Olduvai ambako mabaki ya wanaadamu wa kale kabisa yalipatikana liko ndani ya Serengeti.
Anonymous user