Sifuri halisi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
delete
No edit summary
Mstari 1:
'''Sifuri halisi''' kazika [[fizikia]] ni kiwango cha [[halijoto]] ya duni kabisa inayowezekana.
{{delete}}
 
yoo
Ni sawa na vizio −273.15° kwenye skeli ya [[selsiasi]] au vizio 0° kwenye skeli ya [[kelvini]].
 
Kwenye kiwango cha sifuri halisi hakuna mwendo wa mada au molekuli tena. Sababu yake ni ya kwamba halijoto yenyewe kifizikia ni uso mwingine wa mwendo wa mada yaani mwendo wa molekuli na atomi.
 
Katika hali ya kawaida molekuli za hewa au za kiowevu huwa na mwendo; pia molekuli za gimba mango huwa na mwendo fulani kama kitisiko. Kama mwendo = halijoto inaongezeka tunaona badiliko la gimba mango kuwa kiowevu au gesi. Kinyume chake tunaona jinsi gani maji "baridi" huwa imara maana yake mwendo wa sehemu zake inazidi kupungua. Pasipo na mwendo tena hakuna joto wala halijoto na hali hii huitwa "sifuri halisi".
 
Hali hii inasababisha kutokea kwa mambo yasiyo kawaida. Kwa mfano uwezo wa [[metali]] wa kupitisha umeme unaongezeka sana kadiri jinsi metali inavyokaribia sifuri halisi.
 
Hali halisi haiwezekani kukuta mada kwenye hali ya sifuri halisi kabisa lakini katika maabara imewezekana kuikaribia sana.
 
 
[[Category:Vipimo]]
 
 
[[af:Absolute nul]]
[[ar:صفر مطلق]]
[[br:Zero klok]]
[[bg:Абсолютна нула]]
[[ca:Zero absolut]]
[[cs:Absolutní nula]]
[[da:Absolut nulpunkt]]
[[de:Absoluter Nullpunkt]]
[[et:Absoluutne nulltemperatuur]]
[[el:Απόλυτο μηδέν]]
[[en:Absolute zero]]
[[es:Cero absoluto]]
[[eo:Absoluta nulo de temperaturo]]
[[eu:Zero absolutu]]
[[fa:صفر مطلق]]
[[fr:Zéro absolu]]
[[gl:Cero absoluto]]
[[ko:절대 영도]]
[[hi:परम ताप]]
[[id:Nol absolut]]
[[is:Alkul]]
[[it:Zero assoluto]]
[[he:האפס המוחלט]]
[[lv:Absolūtā nulle]]
[[lt:Absoliutusis nulis]]
[[hu:Abszolút nulla fok]]
[[ml:കേവലപൂജ്യം]]
[[nl:Absoluut nulpunt]]
[[ja:絶対零度]]
[[no:Det absolutte nullpunkt]]
[[nn:Det absolutte nullpunktet]]
[[pl:Zero bezwzględne]]
[[pt:Zero absoluto]]
[[ro:Zero absolut]]
[[ru:Абсолютный нуль температуры]]
[[sk:Absolútna nula]]
[[sl:Absolutna ničla]]
[[sr:Апсолутна нула]]
[[sh:Apsolutna nula]]
[[fi:Absoluuttinen nollapiste]]
[[sv:Absoluta nollpunkten]]
[[th:ศูนย์สัมบูรณ์]]
[[vi:Nhiệt độ không tuyệt đối]]
[[tr:Mutlak sıfır]]
[[tk:Absolýut nol]]
[[uk:Абсолютний нуль]]
[[ur:مطلق صفر]]
[[zh-yue:絕對零度]]
[[zh:绝对零度]]