Verner von Heidenstam : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:57, 7 Novemba 2006

Verner von Heidenstam (6 Julai, 185920 Mei, 1940) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Sweden. Hasa aliandika mashairi na riwaya. Mwaka wa 1916 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.