Wikipedia ya Kipoland : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with '{{Infobox Website | jina = 16px|Favicon of Wikipedia Wikipedia ya Kipoland | logo = Logo of the Polish Wikipedia | …'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 11:28, 18 Aprili 2009

Wikipedia ya Kipoland (Kipoland: polska Wikipedia) ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kipoland. Wikipedia kwa Kipoland, ni toleo la tisa la Wikipedia. Ilianzishwa mnamo tar. 26 Septemba katika mwaka wa 2001. Na kwa mwezi wa Mei 2008, imefikisha makala zaidi ya 500,000, na kuifanya iwe toleo la nne kwa ukubwa baada ya Wikipedia kwa Kiingereza, Kijerumani, na Kifaransa. Hii ni toleo kubwa la Wikipedia katika orodha ya lugha za Kislavoni kwa idadi ya makala.

Favicon of Wikipedia Wikipedia ya Kipoland
Logo of the Polish Wikipedia
Kisarahttp://pl.wikipedia.org/
Ya kibiashara?Hapana
Aina ya tovutiMradi wa Kamusi Elezo ya Interneti
KujisajiriHiari
Lugha asiliaKipoland
MmilikiWikimedia Foundation
Imeanzishwa na26 Septemba 2001

Viungo vya Nje

 
Wikipedia
Wikipedia ya Kipoland ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru