Isaka : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: tl:Isaac; cosmetic changes
Mstari 1:
[[FilePicha:Andrea Mantegna 010.jpg|thumb|250px|Abrahamu anazuliwa na Mungu asimtoe Isaka kama sadaka<br />Uchongaji na [[Andrea Mantegna]] kwenye altare mjini [[Mantua]] (mnamo 1461)]]
'''Isaka''' ni jina la mwana wa [[Abrahamu]] katika [[Biblia]]. Kufuatana na habari za kitabu cha [[Mwanzo (Biblia)|Mwanzo]] Abrahamu alimzaa na mke wake [[Sara]] akiwa mwana wake wa pili baada ya [[Ismaeli]] aliyemwahi kuzaa na [[Hagar]].
 
Katika Biblia anatazamiwa kama mrithi halali wa Abrahamu pamoja na kupokea baraka kutokana na agano la Mungu na ukoo wa babake.
 
Isaka alipokuwa mtoto bado aliokolewa na malika kwenye altari alipoelekea kuchinjwa kama sadaka na babake.
 
Alimwoa [[Rebeka]] na kuzaa naye [[mapacha]] [[Esau]] na [[Yakobo]].
Mstari 11:
 
Habari zinapatikana hasa katika kitabu cha Mwanzo 21.1-22,1ff na 24,1-28,1ff.
 
 
[[Jamii:Watu wa Biblia]]
 
 
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.newadvent.org/cathen/08175a.htm Isaac in Catholic Encyclopedia]
Line 21 ⟶ 16:
 
{{stub}}
 
[[Jamii:Watu wa Biblia]]
 
[[ar:إسحاق]]
Line 58 ⟶ 55:
[[ta:ஈசாக்கு]]
[[th:อิสอัค]]
[[tl:Isaac]]
[[tr:İshak]]
[[uk:Ісаак син Авраама]]