Kitabu cha Mhubiri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: lt:Mokytojo knyga
No edit summary
Mstari 1:
'''Mhubiri''' ni kitabukimojawapo chakati ya [[vitabu cha hekima]] kilichomovilivyomo katika [[Tanakh]] ([[Biblia ya Kiebrania]]) na hivyo pia katika [[Agano la Kale]] la [[Biblia ya Kikristo]].
 
==Jina==
Katika lugha ya [[Kiebrania]] jina lake ni '''קֹהֶלֶת''' (Qohelet), maana yake "Mhadhiri": ndivyo anavyojiita mwandishi.
 
Katika lugha ya [[Kiebrania]] jina lake ni '''קֹהֶלֶת''' (Qohelet), maana yake "Mhadhiri": ndivyo anavyojiita mwandishi, ambaye hajulikani kwa jina.
Yeye anakabili masuala ya maisha kwa kuzingatia upande chanya na upande hasi wa kila moja ili kufikia hekima.
 
==Mada==
 
Yeye anakabili masuala ya [[maisha]] kwa kuzingatia upande chanya na upande hasi wa kila moja ili kufikia [[hekima]].
 
Hasa anajiuliza juu ya maana ya [[maadili]] wakati [[ufunuo]] wa [[Mungu]] ulikuwa haujafikia hatua ya kufundisha uzima wa milele na maisha yalikuwa yanaonyesha mara nyingi ustawi wa waovu na hali ngumu ya waadilifu.
 
Mbele ya utovu wa [[haki]] duniani, Mhubiri alikariri, "Ubatili mtupu, ubatili mtupu, mambo yote ni ubatili" (1:2).
 
Hata hivyo, hatimaye akajumlisha mawazo yake kwa kuhimiza kwa [[imani]], "Mche Mungu, nawe uzishike amri zake, maana kwa jumla ndiyo impasayo mtu. Kwa maana Mungu ataleta hukumuni kila kazi, pamoja na kila neno la siri, likiwa jema au likiwa baya" (12:13-14).
 
==Ufafanuzi==
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
Maendeleo hayo yataweka wazi kwamba [[hukumu hiyo]] itafanyika baada ya [[kifo]], na kwamba [[tuzo]] na [[]]adhabu vitatolewa kwa haki katika [[uzima wa milele]].
 
==Viungo vya nje==
{{DEFAULTSORT:Mhubiri}}
 
[[Category:Vitabu vya Agano la Kale]]
[http://www.biblephone.net/mobile/index.php/swa/2/Eccles/ Kitabu cha Mhubiri katika [[tafsiri]] ya [[Kiswahili]] (Union Version)]
 
{{Biblia AK}}
 
{{DEFAULTSORT:Mhubiri}}
[[Category:Vitabu vya Agano la Kale]]
 
[[ar:سفر الجامعة]]