Wimbo Ulio Bora : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: vi:Sách Diễm ca
No edit summary
Mstari 1:
'''Wimbo Ulio Bora''' (kwa [[Kiebrania]] '''שיר השירים''' ''Shir ha-Shirim''), ni kitabu kimojawapo cha [[Tanakh]] ([[Biblia ya Kiebrania]]) na hivyo pia cha [[Agano la Kale]] katika [[Biblia]] ya [[UkristoKikristo]].
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
==Utunzi wake==
 
Ingawa mapokeo yanamtaja mfalme Solomoni kama mtunzi, wataalama wanaona ni kazi ya mwandishi wa [[karne ya 4 K.K.]] aliyekusanya nyimbo mbalimbali za mapenzi.
 
==Aina ya uandishi==
 
Ni kati ya vitabu vya kishairi na vya pekee zaidi katika Biblia, kwa kuwa kinaimba mahaba ya wapenzi wawili, ambao wanatafsiriwa kama wawakilishi wa [[Mungu]] na taifa lake, kadiri ya moja kati ya mafundisho makuu ya ufunuo, linalotokana na nabii [[Hosea]].
 
Ndio ujumbe wa kitabu: upendo kati ya mume na mke unaweza na kutakiwa kufanana na ule kati ya [[Yesu Kristo]] na [[Kanisa]] lake.
 
==Viungo vya nje==
 
[http://www.biblephone.net/mobile/index.php/swa/2/Song/ Kitabu cha Wimbo Ulio Bora katika [[tafsiri]] ya [[Kiswahili]] (Union Version)]
 
 
 
[[Category:Vitabu vya Agano la Kale]]