Wazulu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: zh-yue:祖魯人
HBR (majadiliano | michango)
File:Zulu Krieger.jpg
Mstari 1:
[[File:ZuluWarriors_adj.jpg|thumb|]]
[[File:Zulu Krieger.jpg|thumb|]]
'''Wazulu''' (''kwa [[Kizulu]]: amaZulu'') ni kabila kubwa la [[Afrika Kusini]] lenye watu milioni 9-10. Makazi yao ni hasa jimbo la [[KwaZulu-Natal]] lakini wako katika miji yote ya Afrika Kusini pamoja na vikundi vidogo zaidi katika [[Zimbabwe]], [[Zambia]] na [[Msumbiji]].