Tofauti kati ya marekesbisho "Kitabu cha Yeremia"

448 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
no edit summary
Kitabu cha [[Yeremia]] ni kimojawapo kati ya [[vitabu vya kinabii]] vilivyo virefu zaidi katika [[Tanakh]] ([[Biblia ya Kiebania]]), na kwa hiyo pia katika [[Agano la Kale]] ambalo ni sehemu ya kwanza ya [[Biblia ya Kikristo]].
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
==Mhusika mkuu==
 
Yeremia, mtu mpole sana, aliitwa na [[Mungu]] akiwa bado kijana, akapewa kazi ngumu ya kutabiri maangamizi ya [[Yerusalemu]] viongozi wasipoacha siasa yao ili kumtegemea Mungu tu.
 
Habari zake zinapatikana hasa katika kitabu chakehiki, ingawa humo hazikupangwa kitarehe.
 
==Wito na muda wa unabii wake==
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
Toka mwanzo Yeremia alitaka kukataa wito wa unabii, na hata baadaye akafikia hatua ya kukata tamaa alipodhulumiwa. Lakini Mungu alimuita kwa mpango wa milele, Yeremia asiweze kukataa (15:10-21; 20:7-18).
 
Kilele cha mafundisho yake ni kwamba Mungu atafunga na [[Israeli]] yote [[Agano Jipya]] ambalo litaandikwa mioyoni (31:31-34).
 
==Mwisho wa unabii wake==
 
Baada ya Yerusalemu kuteketezwa (587 K.K.) Yeremia alichagua kubaki nchini pamoja na mafukara badala ya kuhamia Babeli (39:8-40:6), ila ukatokea uasi akalazimishwa na Waisraeli wenzake kuwafuata [[Misri]]: huko akawaonya wasifuate Upagani lakini wakakataa tena kumsikiliza (42-44).
 
==Nyongeza==
 
Kama nyongeza ya kitabu cha Yeremia tuna [[Maombolezo (Biblia)|Maombolezo]] matano juu ya Yerusalemu ulioteketezwa, ambamo inaonekana toba halisi baada ya tukio hilo. Hatujui yametungwa na nani.
 
==Viungo vya nje==
 
[http://www.biblephone.net/mobile/index.php/swa/2/Jerem/ Kitabu cha Yeremia katika [[tafsiri]] ya [[Kiswahili]] (Union Version)]
 
{{Biblia AK}}
 
[[Category:Watu wa Biblia]]
[[Category:Vitabu vya Agano la Kale|Yeremia]]