Maombolezo (Biblia) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Michelangelo Buonarroti 027.jpg|thumb|Yeremia alivyochorwa na [[Michelangelo Buonarroti|Michelangelo]] katika [[Cappella Sistina]].]]
 
'''Kitabu cha Maombolezo''' (kwa [[Kiebrania]] '''איכה''', eikha) ni kama nyongeza ya kitabu[[Kitabu cha nabiiYeremia|kitabu]] cha [[nabii Yeremia]] katika [[Tanakh]] (yaani [[Biblia ya Kiebrania]]) na hivyo pia katika [[Agano la Kale]] iliyo sehemu ya kwanza ya [[Biblia ya Kikristo]].
 
Kichwa chake kinadokeza kwamba ni mashaurimashairi matano ya uchungu kuhusu maangamizi ya [[Yerusalemu]] (587 [[K.K.]]) na [[uhamisho wa Babeli]] uliofuata kwa [[Wayahudi]] wengi.
 
La kwanza, la pili na la nne yanazingatia utaratibu wa kwamba kila mstari unaanza na herufi tofauti kufuatana na [[alfabeti]] ya [[Kiebrania]] yenye herufi 22.
Mstari 13:
Kama vitabu vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
==viungo vya Nje==
[[Category:Dini]]
[http://www.biblephone.net/mobile/index.php/swa/2/Lamen/ Kitabu cha Maombolezo katika [[tafsiri]] ya [[Kiswahili]] ya Biblia (Union Version)]
[[Category:Misahafu]]
 
[[Category:Biblia]]
[[Category:Vitabu vya Agano la Kale]]