Wikipedia ya Kireno : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with '{{Infobox Website | jina = 16px|Favicon of Wikipedia Wikipedia ya Kireno | screenshot = 200px | logo = …'
 
No edit summary
Mstari 14:
}}
 
'''Wikipedia ya Kireno''' ([[Kireno]]: ''Wikipédia em português'') ni toleo la [[kamusi elezo]] ya [[Wikipedia]] kwa kwa lugha ya [[Kireno]]. Inaandikwa ''Wikipédia'', kwa Kireno. Hii ilikuwa toleo la tano la Wikipedia zilizoanzishwa mwezi wa [[Juni]], [[2001]]. Hii ni Wikipedia ya nane kwa ukubwa na hesabu ya wingi makala. Imetunga zaidi ya makala 473,396 kwa tar. [[19 Aprili]], [[2009]].
 
Kuanzia mwaka [[2004]], toleo hili lilikuwa haraka sana. Wakati wa mwezi wa [[Mei]] katika mwaka wa [[2005]], ikazipita Wikipedia zote mbili, yaani, ya [[Wikipedia ya Kihispania|Kihispania]] na [[Wikipedia ya Kiitalia|Kiitalia]]. Kwa ufananisho, kunako [[Mei]], [[2004]] ilikuwa Wikipedia ya 17 kwa wingi wa makala.