Durban : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: pdc:Durban
d roboti Badiliko: gl:Durban - eThekwini; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:DSC42232.GOLDEN MILE-1-.jpg|thumb|300px|"Maili ya Dhahabu" mwambaoni mjini Durban ]]
'''Durban''' ni mji wa [[Afrika Kusini]] katika jimbo la [[KwaZulu-Natal]]. Kuna takriban wakazi milioni 4 . Fuko za Durban zapendwa na watalii kwa sababu maji ya Bahari Hindi si baridi na kuna jua tele. Bandari ya mji ni kubwa katika Afrika Kusini ni [[bandari asilia]] duniani yenye kina kikubwa.
 
== Historia ==
Habari za kwanza za Durban zimepatikana kutoka kwa mpelelezi na mbaharia Mreno Vasco da Gama aliyefika hapa [[25 Desemba]] [[1497]]. Aliita mahali ''Rio de Natal'' au "mto wa Krismasi" kutokana na tarehe ya kufika kwake. Hii ni chanzo cha jina "[[Natal]]" kwa ajili ya jimbo.
 
Mji ulianzishwa 1824 na kikosi cha wanajeshi Waiingereza waliojenga makazi kwenye pwani la hori ya Natal. Mmoja wao aliweza kumsaidia mfalme wa Zulu [[Shaka]] aliyegonjeka kutokana na majeruhi. Mfal,me akatoa shukrani kwa kumpa Mwingereza zawadi ya kanda la eneo lenye urefu wa maili 25 kwenye pwani na upana wa maili 100 kuingia bara. Mji uliitwa kwa heshima wa gavana wa [[koloni ya Rasi]] Sir Benjamin d'Urban hivyo "Durban".
 
Katika karne ya 19 Waingereza walichukua wafanyakazi wengi kwa ajili ya mashamba ya miwa kutoka Bara Hindi ambao ni chanzo cha wakazi Waasia wa Durban. Kati ya [[1893]] na [[1915]] Durban ilikuwa mahali ambapo [[Mahatma Gandhi]] alifanya kazi kama mwanasheria.
 
[[CategoryJamii:Kwazulu-Natal]]
[[CategoryJamii:Miji ya Afrika Kusini]]
 
[[af:Durban]]
Mstari 27:
[[fi:Durban]]
[[fr:Durban]]
[[gl:Durban - eThekwini]]
[[he:דרבן (דרום אפריקה)]]
[[hi:डर्बन]]