Kitabu cha Yoeli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ca:Llibre de Joel
No edit summary
Mstari 1:
'''Kitabu cha Yoeli''' ni kimojakimojawapo kati ya vitabu 12 vya [[Manabii wadogo]] ambavyo, pamoja na vingine vingi, vinaunda [[Tanakh]].
 
Hivyo ni pia sehemu ya [[Agano la Kale]] katika [[Biblia]] ya [[UkristoKikristo]].
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
Mstari 18:
 
[[Mtume Paulo]] alitumia utabiri huohuo kuhusu [[Wayahudi]] na watu wa mataifa mengine pia (taz. Yoe 3:5 na Rom 10:13).
 
==Viungo vya Nje==
[http://www.biblephone.net/mobile/index.php/swa/2/Joe/ Kitabu cha Yoeli katika [[tafsiri]] ya [[Kiswahili]] (Union Version)]
 
{{Biblia AK}}