Kitabu cha Mika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: pt:Miqueias
No edit summary
Mstari 1:
'''Kitabu cha Mika''' ni kimoja kati ya vitabu 12 vya [[Manabii wadogo]] ambavyo, pamoja na vingine vingi, vinaunda [[Tanakh]].
 
Hivyo ni pia sehemu ya [[Agano la Kale]] katika [[Biblia]] ya [[UkristoKikristo]].
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
Mstari 21:
 
Dondoo lenyewe lilibainisha miaka 700 kabla ya [[Yesu]] kuzaliwa kwamba Bethlehemu hiyo ni ile ya Efrata, si nyingine yenye jina hilohilo: "Bali wewe, Betlehemu Efrata, uliye mdogo kuwa miongoni mwa elfu za Yuda; kutoka kwako wewe atanitokea mmoja atakayekuwa mtawala katika Israeli; ambaye matokeo yake yamekuwa tangu zamani za kale, tangu milele".
 
==Viungo vya Nje==
[http://www.biblephone.net/mobile/index.php/swa/2/Mic/ Kitabu cha Mika katika [[tafsiri]] ya [[Kiswahili]] (Union Version)]
 
{{Biblia AK}}