Kitabu cha Habakuki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d {{defaultsort}}
No edit summary
Mstari 1:
'''Habakuki''' ni jina la [[nabii]] wa [[Israeli ya Kale]] na pia la kitabu chakinacholeta [[Aganohabari lazake Kalekatika [[Tanakh]] (yaani [[TanakhBiblia ya Kiebrania]]), kinacholetana habarikwa zahiyo nabiipia huyukatika [[Agano la Kale]], sehemu ya kwanza ya [[Biblia ya Kikristo]].
==Muda na mada==
 
Wakati alipofanya kazi nabii [[Yeremia]] aliishi pia Habakuki (600 hivi K.K.), aliyeandika kitabu kifupi ambamo alithubutu kumuuliza [[Mungu]] kwa nini anaadhibu [[Israeli]] vikali kwa mikono ya watu wabaya kuliko wao.
 
Jibu ni kwamba Mungu ana njia zake ambazo anaandaa ushindi wa haki: hivyo mwadilifu ataishi kwa [[imani]] yake (1:12-2:4). Usemi huo ukaja kutumika sana katika [[Agano Jipya]]. [[Mtume Paulo]] ameufanya msingi wa msimamo wake kuwa wokovu unapatikana kwa imani, si kwa kujitahidi kutekeleza masharti yote ya [[Torati]].
 
==Ufafanuzi==
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
==Viungo vya Nje==
[http://www.biblephone.net/mobile/index.php/swa/2/Habak/ Kitabu cha Habakuki katika [[tafsiri]] ya [[Kiswahili]] (Union Version)]
 
{{Biblia AK}}