Haki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with 'thumb|right|140px|Haki Haki ndiyo utaratibu unaotakiwa katika mafungamano. Kwa [[Kilatini…'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Iustitia Papstgrab Bamberg aus Gottfried Henschen u Daniel Papebroch 1747.jpg|thumb|right|140px|Haki]]
Haki ndiyo utaratibu unaotakiwa katika mafungamano. Kwa [[Kilatini]] kutokana na neno ''jus'', haki, linapatikana neno ''justus'', mwenye kujali haki, na hatimaye ''justitia'', iliyo [[adili]] la msingi la utu linalotufanta tumpatie mwingine anachostahili.
 
Kwa [[Kigiriki]] inaitwa ''dikaiosyne'', kutokana na neno asili ''dike'' yaani ''anayeelekeza'' na kwa hiyo pia ''mwongozo, utaratibu''. Tofauti na ''[[nomos]]'', yaani sheria inayoongoza wanyama pia, ''dike'' inahitajiwa na [[binadamu]] ili kuishi kwa utaratibu. Ni kinyume cha ''bie'', ukatili, nguvu inayoangamiza. ''Dikaios'' (mwenye kujali haki), ni mtu anayemtendea kila mmoja haki yake. ''Dikaia zoe'' ni maisha ya kiutu yanayopingana na ''[[hybris]]'' (kiburi) na ushenzi.
 
Kwa [[Kilatini]] kutokana na neno ''jus'', haki, linapatikana neno ''justus'', mwenye kujali haki, na hatimaye ''justitia'', iliyo [[adili]] la msingi la utu linalotufanta tumpatie mwingine anachostahili.
 
[[Category:Maadili]]