Ukosoaji wa dini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
Kuna aina na ngazi nyingi za ukosoaji kama vile:
* kuanzia wasiwasi kama mapokeo na desturi ni za kweli au kama watumishi wa dini husika waliongeza au kupunguza ujumbe wake
* kuona wasiwasi kama akili na imani ya kidini zinaweza kwndakwenda pamoja
* kudai uhusiano wa karibu kati ya mahitaji ya [[jamii]], [[siasa]] au [[uchumi]] na mabadiliko katika dini
* kuona dini ni [[itikadi]] ya kibinadamu tu kama mawazo yote mengine
Mstari 14:
* [[Ubuddha]] ni aina ya dini isiyohitaji dhana ya [[Mungu]]
* [[Uyahudi]] na [[Uislamu]] ni dini ambazo zina wafuasi wasioweza kuamini tena mafundisho ya imani lakini wanajitazama bado kama Waislamu au Wayahudi kwa kuona jumuiya hizo ni za kijamii hata bila ya imani yenyewe. Huwa wanaangaliwa kama wazushi au wasaliti lakini wapo.
* Ukosoaji mkali katika [[Ulaya]] ulianzishwa mara nyingi na watu wenye elimu ya [[Ukristo]] kama vile [[Ludwig Feuerbach]], [[Karl Marx]] na [[Nietzsche]].
 
{{mbegu}}