Ziwa Superior : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 3:
'''Ziwa Superior''' (Ziwa Kubwa) ni moja ya maziwa makubwa ya [[Amerika ya Kaskazini]]. Ni ziwa kubwa bara hii. Pamoja na maziwa ya [[Ziwa Huron]], [[Erie (ziwa)|Ziwa Erie]] na [[Ziwa Ontario]] liko mpakani kati ya [[Marekani]] na [[Kanada]] na mpaka huu umepita ziwani.
 
Ziwa limepakana na Kanada ([[Ontario]]) upande wa kaskazini halafu na Marekani ([[Minnesota]], [[Wisconsin]] na [[Michigan]]) upande wa kusini.
 
Ziwa Superior hupokea maji yake kutoka Ziwa Huron kupitia [[mto St. Mary's]] na [[Soo Locks]].