Ziwa Superior : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
dNo edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Image:Lake-Superior.svg|200px|left|thumb|Ziwa Superior pamoja na maziwa makubwa]]
[[Image:LakeSuperior arf.JPG|200px|right|thumb|Desemba 2004]]
'''Ziwa Superior''' (Ziwa Kubwa) ni moja ya maziwa makubwa ya [[Amerika ya Kaskazini]]. Ni ziwa kubwa la bara
Ziwa limepakana na Kanada ([[Ontario]]) upande wa kaskazini halafu na Marekani ([[Minnesota]], [[Wisconsin]] na [[Michigan]]) upande wa kusini.
Ziwa Superior hupokea maji yake kutoka kwa mito mingi inayoishia humo; maji yake hutoka kwenda [[Ziwa Huron]] kupitia [[mto St. Mary's]] na [[Soo Locks]].
== Vipimo ==
|