Bamako : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: war:Bamako
d roboti Nyongeza: zh-min-nan:Bamako; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Bamako mtoni.jpg|thumbnail|300px|Bamako na [[mto Niger]]]]
[[ImagePicha:Mali-Bamako.png||thumbnail|left|300px|Bamako katika Mali]]
[[ImagePicha:Hilltop view over Bamako.jpg|right|thumb|300px|Bamako kutoka mlimani]]
[[ImagePicha:People working at a Garbage Field in Bamako - 14th February 2005.jpg|right|300px|Watu huchunguza takataka Bamako]]
 
'''Bamako''' ni [[mji mkuu]] wa [[Mali]] pamoja na kuwa mji mkubwa nchini ikiwa na wakazi milioni moja na nusu. Iko mwambaoni wa [[mto Niger]] katika kusini ya nchi.
 
== Historia ==
Bamako ilianzishwa kama mji katika karne ya 17 [[BK]] na machifu wa kabila la Niare [[Seribadian Niaré]] na [[Soumba Coulibaly]]. Jina la asili lilikuwa "Bammako" ([[Kibambara]]: ''"bwawa la mamba"''). Bamako ilikuwa soko muhimu pamoja na mji wa elimu ya Kiislamu katika Dola la Mali. Wakati wa karne ya 19 sifa zake zilikuwa zimepungua. Mwaka 1883 Wafaransa walikuta kijiji kikubwa cha watu 600 chenye kuta za ulinzi.
 
Wakati wa ukoloni Bamako ikawa makao makuu ya koloni ya Senegal ya Juu-Niger mwaka 1899 halafu mji mkuu wa Sudan ya Kifaransa mwaka 1920. Ikulu ya Koulouba ilijengwa 1907 kama makao makuu ya gavana ikawa ikulu ya rais baada ya uhuru.
Mstari 23:
 
== Hara za mji ==
[[ImagePicha:Sotrumas_in_Bamako_-_12th_February_2005.jpg|right|thumb|250px|[[Matatu]] au [[daladala]] za Bamako huitwa "sotruma"]]
* [[Hippodrome, Bamako|Hippodrome]].
* Niarela.
Mstari 39:
== Viungo vya Nje ==
*[http://www.bamako-culture.org/ Bamako-culture.org (French language)]
*[http://www.cites.tv/citesdumonde/destinations.php?idDest=11 Bamako at ''Cités du Monde'' (French language)]
*[http://mrzine.monthlyreview.org/bamako.html The Bamako Appeal]
*[http://travel2.nytimes.com/2006/04/02/travel/02mali.html?ex=1144641600&en=5d9d61a127019b74&ei=5070&emc=eta1/ Mali Music Scene article in the New York Times]
*[http://www.nytimes.com/2006/04/02/travel/02music.html/ Music samples article in the New York times]
 
[[CategoryJamii:Mali]]
[[CategoryJamii:Miji ya Mali]]
[[CategoryJamii:Miji Mikuu Afrika]]
[[CategoryJamii:Bamako| ]]
 
[[af:Bamako]]
Mstari 116:
[[war:Bamako]]
[[zh:巴馬科]]
[[zh-min-nan:Bamako]]