Ziwa Superior : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Lake-Superior.svg|200px|left|thumb|Ziwa Superior pamoja na maziwa makubwa]]
[[Image:LakeSuperior arf.JPGjpg|200px|right|thumb|Desemba 2004]]
'''Ziwa Superior''' (Ziwa Kubwa) ni moja kati ya maziwa makubwa ya [[Amerika ya Kaskazini]]. Ni ziwa kubwa la bara hili. Pamoja na maziwa ya [[Ziwa Huron]], [[Erie (ziwa)|Ziwa Erie]] na [[Ziwa Ontario]] liko mpakani kati ya [[Marekani]] na [[Kanada]] na mpaka huu umepita ziwani.
 
Ziwa limepakana na Kanada ([[Ontario]]) upande wa kaskazini halafu na Marekani ([[Minnesota]], [[Wisconsin]] na [[Michigan]]) upande wa kusini.
Mstari 9:
== Vipimo ==
 
Ziwa lina uretuurefu wa [[kilomita]] 563 na upana mkubwa wa 257 [[kilomita|km]]. Uso wake una eneo la 82,400. Kina cha wastani ni 147 [[Mita|m]] lakini kina kikubwa cahfikia 406 m.
 
{{stub}}