Tofauti kati ya marekesbisho "Shirikisho la Ujerumani"

25 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
d
roboti Nyongeza: gl:Confederación Xermánica; cosmetic changes
d (roboti Nyongeza: simple:German Confederation)
d (roboti Nyongeza: gl:Confederación Xermánica; cosmetic changes)
[[ImagePicha:Map - Deutscher Bund 1820.png|thumb|300px|Shirikisho la Ujerumani katika Ulaya. <br />Sehemu za nchi mbili kubwa ndani yake [[Austria]] na [[Prussia]] zilikuwa nje ya shirikisho]]
'''Shirikisho la Ujerumani''' ''([[Kijer.]]: Deutscher Bund")'' ilikuwa ushirikiano wa nchi za [[Ulaya ya Kati]] hasa za shemu za [[Ujerumani]] baada ya [[Mkutano wa Vienna]] [[1815]] hadi [[vita ya Prussia na Austria ya 1866]].
 
Nchi hizi ziliwahi kuwa sehemu za [[Dola Takatifu la Kiroma]] hadi [[1806]] iliyokwisha kutokana na vita za [[Napoleoni]].
 
Nchi na maeneo ya kujitawala 38 zilijiunga ndani yake. Hizi zilikuwa nchi 34 zenye utaratibu wa kifalme (ufalme, utemi) na miji huru minne yenye katiba ya kijamhuri. Kila nchi ilijitawala na kujitegemea hata kimataifa.
 
Nchi mbili kubwa kati ya wanachama zilikuwa [[Dola la Austria]] na Ufalme wa [[Prussia]]. Zote mbili zilikuwa na maeneo makubwa ambayo yalihesabiwa kuwa nje ya eneo la shirikisho kwa sababu hazikuwahi kuwa sehemu za Dola Takatifu kabla ya 1806.
 
Shirikisho lilikuwa na nguvu wakati ambako Austria na Prussia zilishirikiana vizuri. Tangu [[1860]] na hasa tangu [[vita ya Schleswig ya 1864]] uhusiano ulikuwa mbaya na kusababisha [[vita ya Ujerumani ya 1866]] iliyomaliza shirikisho.
 
Katika vita ya Ujerumani na Ufaransa nchi za Ujerumani kusini zilishikamana na Prussia. Tokeo lake likuwa kuundwa kwa [[Dola la Ujerumani]] tar. [[18 Januari]] [[1871]] mjini [[Versailles]] (Ufaransa).
{{Link FA|he}}
 
[[CategoryJamii:Historia ya Ujerumani]]
 
[[CategoryJamii:Nchi ya Kihistoria ya Ulaya|U]]
[[Category:Historia ya Ujerumani]]
[[Category:Nchi ya Kihistoria ya Ulaya|U]]
 
{{Link FA|he}}
 
[[bg:Германски съюз]]
[[fi:Saksan liitto]]
[[fr:Confédération germanique]]
[[gl:Confederación Xermánica]]
[[he:הקונפדרציה הגרמנית]]
[[hr:Njemačka Konfederacija]]
43,982

edits