Akiolojia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Reverted edits by 142.227.239.236 (Talk) to last version by Escarbot
d roboti Badiliko: an:Arqueolochía; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Tommarp kloster 02.JPG|thumb|250px|Wanakiolojia wakichimba kwenye misingi ya maghofu ya monasteri huko Sweden]]
[[imagePicha:PompeijStrasse.jpg|thumb|250px|Barabara hii ya [[Pompei]] (Italia) ilifunikwa mwaka [[79]] na majivu ya volkeno kwa muda wa miaka 1800 hadi kufunuliwa tena na wanakiolojia kuanzia [[1863]]]]
'''Arkiolojia''' (kutoka [[Kiyunani]] αρχαίος = ''zamani'' na λόγος = ''neno, usemi'') ni somo linalohusu mabaki ya tamaduni za watu wa nyakati zilizopita. Waarkiolojia wanatafuta vitu vilivyobaki, kwa mfano kwa kuchimba ardhi na kutafuta mabaki ya majengo, makaburi, silaha, vifaa, vyombo na mifupa ya watu.
 
'''Tofauti na somo la Historia''' haichunguzi maandishi hasa ili kupata ufafanuzi juu ya mambo ya kale. Historia ikiangalia habari arkiolojia huangalia vitu. Waarkiolojia wanaweza kutumia maandishi na habari za historia wakiamua jinsi gani kuendelea na utafiti wao, kwa mfano wachimbe wapi. Lakini hutumia mitindo ya sayansi mbalimbali kuchunguza vitu vinavyopatikana kwa njia ya arkiolojia.
 
'''Mfano bora wa arkiolojia''' ni utafiti wa mji wa '''[[Pompei]]''' huko [[Italia]]. Habari za Pompei zimepatikana katika maandishi mbalimbali ya kiroma lakini mji uliharibika kabisa na kufunikwa na majivu ya [[volkeno]] [[Vesuvio]] mn. mwaka 79 b.K. Kuanzia mwaka 1748 wataalamu walianza kuchimba mahali pa mji mpotevu wakaipata. Hadi leo sehemu kubwa ya mji umefunuliwa tena. Chini ya majivu na udongo wa karne nyingi vitu vingi vimehifadhiwa vizuri ambavyo vingepotea kabisa visingefunikwa, kwa mfano picha za kiroma kwenye kuta za nyumba zenye rangi nzuri kabisa. Hata mabaki ya chakula yamepatikana yakachunguliwa.
Mstari 11:
Hivyo arkiolojia huongeza ujuzi wetu kwa kufunua ushahidi wa nyakati za kale; wakati uleule kazi ya arkiolojia inahatarisha ushahidi huo kwa sababu kazi yake huondoa hifadhi ya udongo. Katika karne za kwanza za arkiolojia mabaki mengi ya tamaduni za kale yameharibika kutokana na kufunuliwa kwao. Kuepukana na tatizo hilo ni jukumu muhimu ya arkiolojia ya kisasa.
 
== Viungo ==
* [http://www.archeodroit.net/african-archaeology/index.html "The World Wide Web Library of African Archaeology] (Kiingereza)
{{commonscat|Archaeology|Akiolojia}}
{{mbegu}}
{{Link FA|eo}}
 
[[CategoryJamii:Sayansi]]
 
{{Link FA|eo}}
 
[[af:Argeologie]]
[[als:Archäologie]]
[[am:ሥነ ቅርስ]]
[[an:ArquiolochíaArqueolochía]]
[[ar:علم الآثار]]
[[ast:Arqueoloxía]]