74,595
edits
(Created page with 'thumb|right|230px|Bradha [[Wafransisko|Mfransisko]] '''Bradha''' au '''bruda''' (yaani ndugu wa kiume) ni neno la mkopo linalotumika katika [[lug…') |
|||
[[Image:A Francisan friar.jpg|thumb|right|230px|Bradha [[Wafransisko|Mfransisko]]]]
'''Bradha''' au '''bruda''' (yaani ndugu wa kiume) ni neno la mkopo linalotumika katika [[lugha]] ya [[Kiswahili]] hasa kumaanisha [[mtawa]] wa kiume
Lakini katika mashirika mengi, linatumika hasa kumaanisha mtawa wa kiume asiye [[kasisi]]. Ingawa watawa wengi wa kiume ni [[upadri|mapadri]] pia, si lazima iwe hivyo.
[[Jamii:Ukristo]]
[[Jamii:Mashirika ya kitawa]]
[[ca:Frare]]
|