Askofu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Akofu Luwum.jpg|thumb|300px|right|Askofu Luwum wa Kanisa la KianglikanaAnglikana la Uganda aliyeuawa na Idi Amin]]
 
'''Askofu''' ([[Kiarabu]]:ni <big>mtu أسقف </big> ''usqufu''; kutoka [[Kigiriki]] επισκοπος - ''episkopos'' = msimamizi, mwangalizi) nimwenye cheo cha juu katika [[Kanisa]]. Kwa kawaida huliongoza katika eneo la jimbo [[dayosisi]] akisimamia [[ushirika|shirika]] au [[parokia]] nyingi.
 
==Historia ya Cheo==
 
===Episkopos katika Agano Jipya===
Neno letu "askofu" limetokana na [[Kiarabu]] <big> أسقف </big> "uskufu" ambalo ni umbo la Kiarabu la neno la [[Kigiriki]] επισκοπος "episkopos". Neno hili lilitumikahilo katika mazingira ya [[Wakristo]] wa kwanza lilitumika kumtajia mwangalizi au msimamizi wa shughuli mbalimbali serikalini[[serikali]]ni, katika shirika za wananchi au penye [[ujenzi]].
 
Maandiko ya kwanza ya [[Agano Jipya]] yanayotumia neno hili ni nyaraka za [[MtakatifuMtume Paulo|Paulo]], ambaye anataja kazi hii katika [[Fil.]] 1,1. Lakini hakuna "episkopos" katika [[1Kor.]] 12,28 inayoorodhesha vyeo na kazi mbalimbali. Hii imechukuliwa na wataalamu wengi kama alama ya kwamba wakati huo kile cha "episkopos" hakuwepohakikuwa bado katikacheo shirikacha zotekawaida kamakatika cheoshirika cha kawaidazote.
 
[[1Tim.]] 3,1-7 na [[Tit.]] 1,7 zinataja "episkopos" lakini wengine hudhani ya kwamba nyaraka hizi zimeandikwa baada ya Paulo.

Katika [[Mdo.]] 20,28 wazee au viongozi wa ushirika wa [[Efeso]] waitwa "episkopoi" kwa jumla.
 
Haya yote yanachukuliwa wa wataalamu wengi ya kuwa wakati wa uandishi wa Agano Jipya cheo cha "askofu" hakikuwa bado cheo maalumu. Lakini katika shirika kadhaa alipatikana tayari kiongozi aliyekuwa na cheo cha juu kuliko wazee.
 
===Episkopos kama cheo===
Neno episkopos linaonekana kama cheo katika maandishi ya mwisho wa [[karne I]] na mwanzo wa [[karne II]] kama vile [[waraka wa kwanza wa Klementi]] ambapo askofu aonekana kuwa kiongozi mkuu wa kanisa katikala [[mji]] fulani.
 
Katika upanuzi wa [[Ukristo]] madaraka ya askofu yalipanuka. Kadiri jinsi makanisa yalivyoenea hata nje ya miji na mashambani askofu akawa kuwa kiongozi wa eneo si wa mji tu.
 
Wakati ule ngazi yaza vyeodaraja ilionekanazilionekana: Kanisa la mji au eneo likiongozwa na episkopos (askofu) anayeshauriana na "presbiteri" (kiasili: wazee; baadaye: ma[[padri/upadri|kasisi]]) na kusaidiwa na mashemasi au ma[[dikoni|madikonishemasi]] au madikoni.
 
==Kanisa katolikiKatoliki na Waorthodoksi==
[[Wakatoliki]] na [[Waorthodoksi]] wana cheo[[daraja chatakatifu]] ya Askofu, kamaambaye kwa kawaida ni mkuu wa kanisa katika ngazi ya [[dayosisi]]. Askofu ni baba wa makasisi (mapadremapadri) na waumini katika eneo lake.
 
Maaskofu hukutana kwenye [[sinodi]] na kufanya maazimio kuhusu mambo ya kanisa lote. Maaskofu wa nchi au eneo kubwa wako pamoja chini ya usimamizi wa [[Patriarka]] au [[Askofu Mkuu]]. Katika Kanisa Katoliki [[askofu wa Roma]] ni mkuu wa Maaskofu wote na wa Kanisa lote duniani akitajwa kwa jina la [[Papa]].
 
Maaskofu wa nchi au eneo kubwa wako pamoja chini ya usimamizi wa [[Patriarka]] au wa [[Askofu Mkuu]].
==Mafundisho ya mlolongo wa kimitume==
Katika mapokeo hayo askofu hutazamiwa kama mwandamizi wa mitume wa Yesu. Katika mafundisho hayo Yesu mwenyewe aliwaweka mitume wake 12 kuwa viongozi wa kanisa lote na kuwapa madaraka. Madaraka hayo yalitolewa na mitume kwa kuwawekea mikono kichwani waandamizi wao waliokuwa hivyo kuwa maaskofu wa kwanza baada yao, nao wakafanya hivyo kwa waandamizi wao.
 
Katika [[Kanisa Katoliki]] [[askofu wa Roma]] ni mkuu wa Maaskofu wote na wa Kanisa lote duniani akitajwa kwa jina la [[Papa]].
Kwa namna hiyo kuna mlolongo wa kuwekeana mikono na kubariki wanaopokea nafasi ya uaskofu kuanzia mitume na kila kizazi cha maaskofu hadi leo. Hivyo maaskofu ni kiungo kati ya Yesu na waumini wa leo.
 
==Askofu kati=Mafundisho ya Waprotestantimlolongo wa mitume===
 
Katika [[mapokeo]] hayo askofu hutazamiwahutazamwa kama [[mwandamizi]] wa mitume[[Mitume wa Yesu]]. Katika mafundisho hayo [[Yesu Kristo]] mwenyewe aliwaweka [[mitume]] wake 12 kuwa viongozi wa kanisa lote na kuwapa madaraka. Madaraka hayo yalitolewa na mitume kwa kuwawekea mikono kichwani waandamizi wao waliokuwawaliopata hivyo kuwa maaskofu wa kwanza baada yao, nao wakafanya hivyo kwa waandamizi wao.
Baadhi ya madhehebu ya Kiprotestanti, hasa ya Kianglikana, yana kiongozi anayeitwa askofu, lakini mamlaka yake ni tofauti na ile ya maaskofu wa Kikatoliki na wa Kiorthodoksi, kutokana na mtazamo tofauti sana kuhusu Kanisa na sakramenti. Kwa kawaida viongozi wa Kiprotestanti hawakuwekewa mikono katika mlolongo wa kimitume.
 
Kwa namna hiyo kuna mlolongo wa kuwekeana mikono nakati kubarikiya wanaopokea nafasi ya uaskofu kuanzia mitume na kila kizazi cha maaskofu hadi leo. Hivyo maaskofu ni kiungo kati ya [[Yesu]] na waumini wa leo.
 
==Askofu kati ya Waprotestanti==
 
Baadhi ya [[madhehebu]] ya Kiprotestanti[[Uprotestanti]], hasa ya Kianglikana[[Anglikana]], yana kiongozi anayeitwa askofu, lakini mamlaka yake ni tofauti na ile ya maaskofu wa Kikatoliki na wa Kiorthodoksi, kutokana na mtazamo tofauti sana kuhusu Kanisa na [[sakramenti]]. Kwa kawaida viongozi wa Kiprotestanti hawakuwekewa mikono katika mlolongo wa kimitume.
(laendelea)
 
{{stub}}
 
[[Category:DiniViongozi wa dini]]
[[Category:Ukristo]]
[[Category:Kanisa]]
[[Category:Kanisa KatolikiSakramenti]]
 
[[an:Bispe]]
[[ar:أسقف]]
[[arc:ܐܦܝܣܩܘܦܐ]]
[[be:Епіскап]]
[[be-x-old:Біскуп]]
[[bs:Biskup]]
Line 52 ⟶ 57:
[[ca:Bisbe]]
[[cs:Biskup]]
[[cy:Esgob]]
[[da:Biskop]]
[[de:Bischof]]
[[et:Piiskop]]
[[el:Επίσκοπος]]
[[en:Bishop]]
[[es:Obispo]]
[[eo:Episkopo]]
Line 73 ⟶ 78:
[[la:Episcopus]]
[[lb:Bëschof]]
[[lt:Vyskupas]]
[[li:Biesjop]]
[[hu:Püspök]]
[[nl:Bisschop]]
[[ja:教]]
[[no:Biskop]]
[[nn:Biskop]]
[[pl:Biskup]]
[[pt:Bispo]]
[[ro:Episcop]]
[[ru:Епископ]]
[[sq:Ipeshkvi]]
[[ensimple:Bishop]]
[[ru-sib:Епископ]]
[[sk:Biskup]]
[[sl:Škof]]
[[sr:БискупЕпископ]]
[[sh:Biskup]]
[[fi:Piispa]]
Line 93 ⟶ 100:
[[tr:Piskopos]]
[[uk:Єпископ]]
[[zh-yuevec:主敎Vescovo]]
[[zh-yue:主教]]
[[bat-smg:Vīskops]]
[[zh:主教]]