Lugha za Kirumi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: qu:Romanu rimaykuna
d roboti Nyongeza: zea:Romaonse taelen; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Map-Romance_Language_World.png|350px|right|thumb|''Lugha za Kirumi'' duniani:<br />'''<font color="#0000FF">buluu</font>''' – [[Kifaransa]]; '''<font color="00B927">kijani</font>''' – [[Kihispania]]; '''<font color="#FF8400">machungwa</font>''' – [[Kireno]]; '''<font color="#FFFF00">njano</font>''' – [[Kiitalia]]; '''<font color="#FF0000">nyekundu</font>''' – [[Kiromania]]]]
 
'''Lugha za Kirumi''' ni [[lugha]] zilizotokana na [[Kilatini]] cha kale kilichokuwa moja kati ya lugha za [[Kihindi-Kiulaya]].
 
== Kilatini cha Roma ya Kale kama lugha mama ==
Kilatini kilikuwa lugha rasmi ya utawala, elimu na biashara katika [[Dola la Roma]] lililotawala maeneo ya [[Ulaya ya Kusini]], [[Ulaya ya Magharibi]], [[Afrika ya Kaskazini]] na [[Asia ya Magharibi]] kwa miaka mingi, hasa kati ya [[karne ya 1 KK]] na [[karne ya 5]] [[BK]].
 
Mstari 10:
Katika sehemu hizo zilijitokeza [[lahaja]] za pekee kulingana na lugha asilia za wenyeji. Baada ya kuporomoka kwa [[Dola la Roma la Magharibi]], lahaja hizo za Kilatini katika nchi mbalimbali ziliendelea kuchanganyikana na lugha hizo na zile za makabila ya [[Kijerumani]] yaliyoteka maeneo hayo yote na hatimaye zikawa lugha za pekee.
 
== Lugha za Kirumi zinazotumiwa kitaifa: ==
Lugha ambazo ni muhimi zaidi kama lugha za kitaifa ni:
* [[Kifaransa]]
Mstari 18:
* [[Kiromania]]
 
== Lugha za Kirumi zinazotumiwa kieneo: ==
*[[Kikatalonia]] (català) ([[Hispania]], [[Ufaransa]] ya Kusini, [[Andorra]] na kwenye visiwa kadhaa za Mediteranea) - wasemaji 8,200,000
*[[Kigalicia]] (galego) (Hispania, jimbo la [[Galicia]]) - wasemaji 3,000,000
*[[Kioksitania]] (occitan) (kusini ya Ufaransa, milima ya [[Italia]] ya Kaskazini-Magharibi na bonde la Aran la Hispania)- wasemaji 2,800,000
*[[Kifriuli]] (furlan) (Italia Kaskazini-Mashariki: mkoa wa [[Friuli]]) - wasemaji 350,000
Mstari 26:
*[[Kirumanj]] (Rumantsch/Romontsch/Rumauntsch) (Jimbo la Graubünden, [[Uswisi]]) - wasemaji 27,000
 
== Lugha za kimataifa ==
Lugha za Kihispania, Kifaransa na Kireno zimesambaa duniani kwa sababu ni lugha kuu za nchi ambazo zilikuwa na makoloni mengi zikaacha lugha zao katika nchi nyingi hasa Kihispania ambacho ni lugha kuu ya [[Amerika]], [[Kireno]] ambacho ni lugha rasmi ya [[Brazili]] na nchi 5 za [[Afrika]] na Kifaransa ambacho ni lugha rasmi katika nchi nyingi za Afrika, Amerika visiwani na [[Kanada]].
 
Mstari 32:
 
Kiromania ni lugha rasmi ya [[Moldova]] pia, ingawa kwa jina la lahaja yake ya [[Kimoldova]].
 
 
[[Category:Lugha za Kirumi|!]]
[[Category:Lugha za Kihindi-Kiulaya]]
 
<!-- interwiki -->
 
{{Link FA|hu}}
 
[[CategoryJamii:Lugha za Kirumi|!]]
[[CategoryJamii:Lugha za Kihindi-Kiulaya]]
 
[[af:Romaanse tale]]
Line 133 ⟶ 131:
[[vls:Romaansche toaln]]
[[wa:Lingaedjes romans]]
[[zea:Romaonse taelen]]
[[zh:罗曼语族]]
[[zh-min-nan:Romance gí-giân]]