Waraka wa pili kwa Timotheo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: arc:ܐܓܪܬܐ ܕܠܘܬ ܛܝܡܬܐܘܣ ܕܬܪܬܝܢ; cosmetic changes
Mstari 3:
'''Barua ya pili kwa Timotheo''' ni kimojawapo kati ya vitabu 27 vya [[Agano Jipya]] katika [[Biblia ya Kikristo]]. Ni moja ya kundi la [[Nyaraka za Kichungaji]].
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
Mwandishi ni [[Mtume Paulo]] akiwa kifungoni [[Roma]] kwa mara ya mwisho, muda mfupi kabla ya kukatwa kichwa wakati wa dhuluma (64-67 [[B.K.]]) ya [[Kaisari]] [[Nero]] dhidi ya [[Wakristo]].
Mstari 9:
Maneno yake ya buriani yanaonyesha tumaini lake ambalo alikabili hicho [[kifodini]].
 
== Kiungo cha nje ==
* [http://www.intratext.com/IXT/SWA0013/_INDEX.HTM] Agano Jipya kwa lugha ya Kiswahili
 
[[CategoryJamii:Vitabu vya Agano Jipya]]
 
[[ar:رسالة بولس الرسول الثانية إلى تيموثاوس]]
[[arc:ܐܓܪܬܐ ܕܠܘܬ ܛܝܡܬܐܘܣ ܕܬܪܬܝܢ]]
[[cs:Druhý list Timoteovi]]
[[de:2. Brief des Paulus an Timotheus]]