Kitabu cha Mika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d roboti Nyongeza: ca:Llibre de Miquees; cosmetic changes
Mstari 3:
Hivyo ni pia sehemu ya [[Agano la Kale]] katika [[Biblia ya Kikristo]].
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
== Mwandishi na muda ==
 
Jina la [[nabii]] huyo, aliyefanya kazi wakati uleule wa nabii [[Isaya]], mwishoni mwa karne ya 8 [[K.K.]], lina maana ya "Nani kama Mungu?".
 
== Muhtasari ==
 
Kitabu kinaweza kuwaganyika sehemu nne ambamo vitisho na ahadi vinapokezana:
Mstari 17:
*matumaini (Mik 7:8-20)
 
== Dondoo maarufu ==
Tunavyosoma katika [[Injili ya Mathayo]] (2:1-6), dondoo la Mik 5:2 lilitumiwa na [[Wayahudi]] kutarajia ujio wa [[Masiya]] wa ukoo wa [[Daudi]] kutoka [[Bethehemu]].
 
Dondoo lenyewe lilibainisha miaka 700 kabla ya [[Yesu]] kuzaliwa kwamba Bethlehemu hiyo ni ile ya Efrata, si nyingine yenye jina hilohilo: "Bali wewe, Betlehemu Efrata, uliye mdogo kuwa miongoni mwa elfu za Yuda; kutoka kwako wewe atanitokea mmoja atakayekuwa mtawala katika Israeli; ambaye matokeo yake yamekuwa tangu zamani za kale, tangu milele".
 
== Viungo vya Nje ==
[http://www.biblephone.net/mobile/index.php/swa/2/Mic/ Kitabu cha Mika katika [[tafsiri]] ya [[Kiswahili]] (Union Version)]
 
Mstari 28:
 
{{DEFAULTSORT:Mika}}
 
[[CategoryJamii:Vitabu vya Agano la Kale]]
[[CategoryJamii:Watu wa Biblia]]
 
[[ar:سفر ميخا]]
[[ca:Llibre de Miquees]]
[[cs:Kniha Micheáš]]
[[de:Buch Micha]]