Wasukuma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 12:
 
 
== '''Shughuri za kiuchumi.''' ==
 
Shughuri kuu za kiuchumi kwa wasukuma ni kilimo,uvuvi na biashara.
Pamba ndio zao kuu la kibiashara kwa wasukuma, ambao pia hulima mazao mengine kama mpunga, tumbaku, mahindi,Viazi,Dengu na matunda(Kisiwani ukerewe)
Wasukuma pia ni wafanyabiashara wana uvuvi, madini mbalimbali kama vile dhahabu, almasi na madini mengineyo.
 
Wasukuma wanajihusisha sana sana na kilimo cha mazao ya nafaka. Maeneo Shinyanga wanalima mazao ya nafaka kama Mahindi na Mpunga.
 
== Maeneo yaliyo na madini ==
 
Wasukuma wamezungukwa na madini mbalimbali. Yafuatayo ni maeneo yaliyo na madini.
1.Mwadui (Huku kuna madini ya almasi ambayo kwa kiwango kikumbwa huipatia serikali pesa za kigeni)
2. Maganzo (Vilevile eneo hili limewekwa kwa ajili ya wachimaji wadogowadogo wa almasi eneo hili liko magharibi ya Mwadui.)