Benn Haidari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Benn Haidari''' ni mpishi na mwanasiasa, aliazaliwa tarehe [[6 Machi]], [[1949]] katika kijiji cha Mbeni huko [[Ngazija]] visiwa vya [[Komoro]]. Mjomba yakewake Maalim Said Ilyas akamchukua [[Zanzibar]] katika mwaka wa 1953. Akamaliza masomo yake Fidel Castro Secondary School na kuhamiyakuhamia [[Ufini]] 1968.
 
Bw. Haidari kasomeyaalisomea mambo ya upishi kwenye [[visiwa vya Aland]] huko FinlandUfini na akawa katika mpishi mkubwa na wa mwanzo wa kufanya filamu za mapishi katika Televisheni za [[Skandanavia]] katikamnamo mwaka 1988.
 
FilmFilamu yake ya mwanzokwanza ni ' 'Pengine nitakuwa mpishi wa pizza'' na baadaye akafanya filamu 12 za mapishi ya duniyadunia pamoja na mapishi ya kizanzibari, 'k.m. ''Samaki wa kupaka '' na mkate''Mkate wa kusukuma''.
 
Mwaka 2005 Bw. Haidari alialikwa Ujapani Tokyo kuonesha mapishi yake katika television ya ujapani.
 
Kitabu chake cha mwanzokwanza cha mapishi kilikuja kilitolewa tarehe 25 Januari 2006.
 
Bw. Haidari aligombaniyaaligombania Ubunge katika visiwa vya Åland mwaka wa 2007.
 
 
Mstari 15:
[http://www.amazon.co.uk/Modern-Zanzibar-Cuisine-Benn-Haidari/dp/1844015955/ref=pd_bbs_sr_1/202-7444478-0148628?ie=UTF8&s=books&qid=1190663653&sr=8-1 Modern-Zanzibar-Cuisine-Benn-Haidari]
 
{{DEFAULTSORT:Haidari, Benn}}
[[Category:Waliozaliwa 1949]]
[[Category:Watu wa Komori]]
[[Category:Watu wa Ufini]]