Sinaloa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 1:
[[image:Mexico stateflags Sinaloa.png|thumb|Bendera ya Sinaloa]]
[[image:Mexico map, MX-SIN.svg|thumb|Mahali pa Sinaloa katika [[Mexiko]]]]
'''Sinaloa''' ni moja kati ya majimbo 31 ya [[Mexiko]] upande wa magharibi ya nchi. Upande wa magharibi ni [[Ghuba ya California]] (au Bahari ya Cortez). Imepakana [[Sonora (jimbo)|Sonora]], [[Chihuahua (jimbo)|Chihuahua]], [[Durango (jimbo)|Durango]] na [[Nayarit]].
 
Mji mkuu na mji mkubwa ni [[Culiacán]]. Jimbo lina wakazi wapatao 2,208,652 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 58,238.