Tofauti kati ya marekesbisho "Nuevo León"

25 bytes added ,  miaka 12 iliyopita
d
no edit summary
d
d
'''Nuevo León''' (León mpya, ufalme wa kale katika [[Hispania]]) ni moja kati ya majimbo 31 ya [[Mexiko]] upande wa kaskazini-mashariki ya nchi. Mji mkuu na mji mkubwa ni [[Monterrey]].
 
Imepakana na [[Coahuila]], [[Tamaulipas]] na [[San Luis Potosí (jimbo)|San Luis Potosí]]. Upande wa kaskazini kuna mpeka na [[Marekani]] ([[kilomita]] 15 pekee).
 
Jimbo lina wakazi wapatao 4,199,292 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 64,210.
1,706

edits