Sinai (mlima) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ar:جبل موسى
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Jabal-musa-location.png|thumb|left|300px|Mahali pa mlima Sinai kwenye rasi ya Sinai]]
[[Image:MountSinaiView.jpg|thumbnail|250px|right|Mazingira ya mlima Sinai]]
'''Mlima Sinai''' (kwa ''[[Kiar.]]:'' جبل موسى jabal musaMusa = mlima wa Musa) ni mlima mwenyewenye kimo cha mita 2,283 m juu ya [[UB]] katika kusini ya [[Rasi ya Sinai]] nchini [[Misri]]. InajulikanaUnajulikana kamapia kwa majinajina yala '''Mlima wa Horeb''' au kwa jina lake la [[Kiarabu]] kama '''Gebel Musa''' (matamshi ya Kimisri) au '''Jabal Musa''' (matamshi ya Kiarabu sanifu).
 
Mlima Sinai unaaminiwa tangu kale kuwa nindio mahali ambako [[Musa]] alipokea [[amri kumi]] kutoka kwa Mungu wakati wa kutoka kwa [[Wanaisraeli]] katikakuacha [[utumwa wa Misri]].
 
Kilele cha mlima kina [[kanisa]] la Kiorthodoksi lenye asili ya jengo la [[Kaisari]] [[Justiniano I]] la mwaka [[532]] na pia [[msikiti]] ya [[karne ya 12]]. [[Monasteri ya Mt. Katarina]] iko kwenye mwanzo wa mlima.
 
Kilele cha mlima kina [[kanisa]] la Kiorthodoksi[[Waorthodoksi]] lenye asili ya jengo la [[Kaisari]] [[Justiniano I]] la mwaka [[532]] na pia [[msikiti]] yawa [[karne ya 12]]. [[Monasteri ya Mt. Katarina]] iko kwenye mwanzo wa mlima.
 
[[Monasteri ya Mt. Katarina]] iko kwenye mwanzo wa mlima.
 
==Viungo vya Nje==
Mstari 13:
*[http://www.ianandwendy.com/OtherTrips/Egypt/StCatherines/slideshow2.htm Photo album from Mount Sinai and St Catherine's]
*[http://www.baseinstitute.org/ Contains many photos of both claimed sites, and some research.]
 
 
[[Category:Historia ya Biblia]]
[[Jamii:Mahali pa Biblia]]
[[Category:Milima ya Misri|Sinai]]