Dayosisi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: io:Diocezo
d roboti Ondoa: ru:Диоцез; cosmetic changes
Mstari 3:
[[Kanisa Katoliki|Wakatoliki]] wanaoongea [[Kiswahili]] wanaiita [[jimbo]], lakini kwa lugha nyingine wanatumia neno kama hilo bila ya kulitafsiri; kwa mfano "diocese" ([[Kiingereza]]), "diocesi" ([[Kiitalia]]) au "diocèse" ([[Kifaransa]]).
 
== Historia ==
Mwanzoni "dayosisi" ilikuwa kitengo cha utawala wa [[serikali]] katika [[Dola la Roma]]; dayosisi moja ilijumlisha majimbo kadhaa. Baada ya uenezaji wa Ukristo katika Dola la Roma [[Kanisa]] lilianza kutumia mipaka ya utawala wa serikali kwa ajili ya vitengo vyake na kwa njia hii muundo wa dayosisi ulikuwa pia muundo wa utawala ndani ya kanisa. Baada ya kuporomoka kwa Dola la Roma jina hilo halikutumiwa tena upande wa serikali lakini likaendelea ndani ya kanisa kwa ajili ya eneo chini ya askofu.
 
== Katika Kanisa Katoliki ==
[[Mtaguso wa pili wa Vatikano]] uliweka mbele waamini kuliko eneo, hivi kwamba yanaweza kuwepo majimbo yasiyo na eneo, hasa kutokana na wingi wa [[uhamiaji]] uliopo siku hizi: "Jimbo ni sehemu ya [[Taifa la Mungu]], iliyokabidhiwa kichungaji kwa Askofu, akisaidiwa na [[upadri|mapadri]] wake, hivi kwamba kwa kuambatana na Mchungaji wake, na kuungana ndani ya [[Roho Mtakatifu]] kwa njia ya [[Injili]] na ya [[Ekaristi]] takatifu, iunde [[Kanisa maalumu]], ambamo linakuwemo na kutenda [[Kanisa]] la [[Yesu Kristo]], lililo Moja, Takatifu, Katoliki na la Mitume" ([[Christus Dominus]])'' 11.
 
== Viungo vya nje ==
*http://www.newadvent.org/cathen/05001a.htm "Diocese" katika Catholic Encyclopedia
 
[[CategoryJamii:Ukristo]]
 
[[be-x-old:Дыяцэзія]]
Mstari 47:
[[pt:Diocese]]
[[ro:Dieceză]]
[[ru:Диоцез]]
[[sh:Dijeceza]]
[[sk:Diecéza]]