Sakramenti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ja:サクラメント
No edit summary
Mstari 16:
 
==Katika Kanisa Katoliki==
{{Sakramenti}}
Kuanzia [[Thoma wa Akwino]] (karne ya 13) [[Kanisa Katoliki]] linaorodhesha sakramenti 7 zilizowekwa na Yesu Kristo: [[Ubatizo]], [[Kipaimara]], Ekaristi, [[Kitubio]], [[Mpako wa wagonjwa]], [[Daraja takatifu]] na [[Ndoa]].