Ndoa (sakramenti) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 7:
 
==Fumbo la ndoa==
Muungano usiovunjika mpaka kufa kati ya mwanamume mmoja na mwanamke mmoja waliobatizwa, ambao unafanyika kwa makubaliano yao ya hiari ambayo yanathibitishwa na Mungu anayewatia neema zinazohitajika waweze kutimiza malengo ya ndoa, ni ishara ya muungano wa kiarusi wa [[Yesu]] na [[Kanisa]].
 
Kadiri ya mpango wa [[Muumba]], ndoa halisi ina sifa tatu: umoja, uimara na utayari wa kuzaa. “Hamkusoma ya kwamba yeye aliyewaumba mwanzo, aliwaumba mtu mume na mtu mke, akasema, ‘Kwa sababu hiyo, mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe, na hao wawili watakuwa mwili mmoja?’ Hata wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja. Basi aliowaunganisha Mungu, mwanadamu asiwatenganishe” ([[Injili ya Mathayo]] 19:4-6). “Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, ‘Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha’” ([[Mwanzo (Biblia)|Mwanzo]] 1:28). [[Mitara]], [[uzinifu]], [[talaka]], [[ushoga]] na kukataa [[uzazi]] ni kinyume cha mpango huo.
"Basi aliowaunganisha Mungu, mwanadamu asiwatenganishe." ([[Injili ya Mathayo]] 19:6).
 
Muungano usiovunjika mpaka kufa kati ya mwanamume mmoja na mwanamke mmoja waliobatizwa, ambao unafanyika kwa makubaliano yao ya hiari ambayo yanathibitishwa na Mungu anayewatia neema zinazohitajika waweze kutimiza malengo ya [[ndoa]], ni ishara ya muungano wa kiarusi wa [[Yesu]] na [[Kanisa]].
 
Yesu aliweka sakramenti ya ndoa kwa sababu ya umuhimu wa [[familia]] kwa ustawi wa [[mume]] na [[mke]], [[watoto]], [[jamii]] na [[ufalme wa Mungu]], na kwa sababu ya uzito wa majukumu yanayohusika. “Siku ya tatu palikuwa na arusi huko Kana, mji wa Galilaya; naye mama yake Yesu alikuwepo. Yesu naye alikuwa amealikwa arusini pamoja na wanafunzi wake” ([[Injili ya Yohane]] 2:1-2), akaleta [[divai]] bora ya ndoa sakramenti badala ya [[ndoa ya kimaumbile]]. Hivyo ametuandalia [[neema]] tuweze kushinda “ugumu wa mioyo” (Mathayo 19:8) unaohatarisha daima uzuri wa mpango wa Mungu kuhusu [[upendo]] mwaminifu katika ndoa. “Mungu aliona kila kitu alichokifanya, na tazama, ni chema sana” (Mwanzo 1:31).
 
==Adhimisho la sakramenti ya ndoa==
 
Ndoa ya Wakristo ni sakramenti ya Yesu na Kanisa lake. “Njoo huku, nami nitakuonyesha yule Bibi arusi, mke wa Mwanakondoo” (Ufu 21:9). Wakiwa na ndoa halisi, mume na mke waliobatizwa ni ishara wazi ya hao wanaarusi wawili wasioonekana. “Kama vile Kanisa limtiivyo Kristo, vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo. Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake” (Ef 5:24-25). Ndiyo sababu Mkatoliki hawezi kufunga ndoa bila ya kuhusisha Kanisa na kufuata taratibu zake.
 
Kwa kawaida Wakatoliki wanaiadhimisha wakati wa [[Misa]], karamu ya arusi ya [[Mwanakondoo]] na [[Kanisa]], lakini wanakubali katika mazingira ya pekee iweze kufungwa na wanaarusi mbele ya mashahidi wawili hata bila ya kuwepo [[kasisi|padri]] .
 
Line 17 ⟶ 23:
 
==Kubariki ndoa kwa Waprotestanti==
 
[[Martin Luther]] aliona sakramenti sharti iwe alama iliyowekwa na Yesu Kristo mwenyewe, lakini [[ndoa]] ni sehemu ya utaratibu wa [[uumbaji]] uliotangulia kuja kwa [[Yesu]].
 
Line 22 ⟶ 29:
 
==Viungo vya nje==
 
*[http://www.vatican.va/holy_father/leo_xiii/encyclicals/documents/hf_l-xiii_enc_10021880_arcanum_en.html ''Arcanum''] Barua ya [[Papa Leo XIII]] kuhusu Ndoa ya Kikristo