73,057
edits
Xqbot (Majadiliano | michango) d (roboti Nyongeza: mn:Дэлхийн өв) |
|||
'''Urithi wa Dunia''' ni maeneo yenye thamani kubwa ya kiutamaduni au kimazingira duniani yanayoangaliwa na shirika la [[UNESCO]]
Mwanzo wa mwaka
Orodha rasmi ya UNESCO ina mahali 679 pa urithi wa dunia wa kiutamaduni na mahali 174 pa urithi wa dunia wa kimazingira, mbali ya 25 pa mseto.
Mwanzo wa jitihada za kuanzisha hifadhi la urithi wa dunia ulikuwa ujenzi wa bwawa la [[Assuan]] lililoelekea kuzamisha majengo mbalimbali ya utamaduni wa [[Misri]] na [[Nubia]] wa kale chini ya maji. Wakati ule UNESCO ilifaulu kukusanya pesa ili hekalu ya [[Abu Simbel]] iliweza kuhamishwa mlimani kabla ya kujaa kwa bwawa.▼
▲Mwanzo wa jitihada za
Tangu 1972 kuna mkataba wa kimataifa wa [[Stockholm]] kuhusu hifadhi la urithi wa dunia kiutamaduni na kimazingira. Kila mahali panapopendekezwa ili pakubaliwe panahitaji angalau sifa moja kati ya sita zifuatazo:▼
▲Tangu 1972 kuna mkataba wa kimataifa wa [[Stockholm]] kuhusu hifadhi
* kuwa na thamani ya pekee ya kisanii
* kuwa na athira muhimu katika eneo fulani au kipindi cha historia
== Viungo vya nje ==
*
{{Link FA|sv}}
|