Jalisco : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with 'thumb|Bendera ya Jalisco thumb|Mahali pa Jalisco katika [[Mexiko]] '''Jalisco''' (kwa Kinahuatl: tambarare ya m…'
 
dNo edit summary
Mstari 3:
'''Jalisco''' (kwa [[Kinahuatl]]: tambarare ya mchanga) ni moja kati ya majimbo 31 ya [[Mexico]] ya kati-magharibi ya nchi. Ina pwani na [[Pasifiki]]. Mji mkuu na mji mkubwa ni [[Guadalajara]].
 
Imepakana na [[Nayarit]], [[Zacatecas (jimbo)|Zacatecas]], [[Aguascalientes (jimbo)|Aguascalientes]], [[San Luis Potosí (jimbo)|San Luis Potosí]], [[Guanajuato (jimbo)|Guanajuato]], [[Colima (jimbo)|Colima]] na [[Michoacán]].
 
Jimbo lina wakazi wapatao 7,000,000 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 79,085.