Jalisco : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 1:
[[image:Flag of Jalisco.svg|thumb|Bendera ya Jalisco]]
[[image:Mexico map, MX-JAL.svg|thumb|Mahali pa Jalisco katika [[Mexiko]]]]
'''Jalisco''' (kwa [[Kinahuatl]]: ''tambarare ya mchanga'') ni moja kati ya majimbo 31 ya [[Mexico]] ya kati-magharibi ya nchi. Ina pwani na [[Pasifiki]]. Mji mkuu na mji mkubwa ni [[Guadalajara]].
 
Imepakana na [[Nayarit]], [[Zacatecas (jimbo)|Zacatecas]], [[Aguascalientes (jimbo)|Aguascalientes]], [[San Luis Potosí (jimbo)|San Luis Potosí]], [[Guanajuato (jimbo)|Guanajuato]], [[Colima (jimbo)|Colima]] na [[Michoacán]].