San Luis Potosí (jimbo) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 3:
'''San Luis Potosí''' ni moja kati ya majimbo 31 ya [[Mexico]] upande wa Mexico ya kati-kaskazini ya nchi.
 
Mji mkuu na mji mkubwa ni [[San Luis Potosí, San Luis Potosí|San Luis Potosí]]. Imepakana na [[Coahuila]], [[Nuevo León]], [[Veracruz (jimbo)|Veracruz]], [[Hidalgo (jimbo)|Hidalgo]], [[Querétaro (jimbo)|Querétaro]], [[Guanajuato (jimbo)|Guanajuato]] na [[Zacatecas (jimbo)|Zacatecas]]. Jimbo lina wakazi wapatao 2,410,414 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 63,068.
 
Jina la jimbo lilitolewa kwa heshima ya [[Mfalme Louis IX]] wa [[Ufaransa]].