Wikipedia:Kuonyesha vyanzo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
{{quotation|'''Mfano:''' Dokta Fredrick alikuwa akiogopa kufukuzwa kazi kwa kfuatiakufuatia ukweli aliouficha juu ya kuchekakumcheka mwuguzi Sarah.{{ukweli}} }}
 
Kiungo cha "onyesha chanzo" iliwekwa kwa sababu kuna [[Wikipedia:Wanawikipedia|mtu]] amejisikia kuweka maelezo haya ya kuonyesha vyanzo juu ya maelezo yaliyoandikwa. Kama huwezi kuonyesha chanzo cha maelezo, basi tahadhali ya ziada huchukuliwa na kuwekewa kibendera cha kuonyesha maelezo ni wapi yanapotokea.