Tofauti kati ya marekesbisho "Wamaroni"

3 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
no edit summary
(Created page with 'thumb|250px||Kanisa kuu la Kimaroni la [[Alep.]] '''Kanisa la Wamaroni''' ni Kanisa sui iuris (yaani ''la kujitegemea'') ndani ya [[Kan…')
 
Linatunza [[liturujia]], [[teolojia]] na [[maisha ya kiroho]] ya mazingira hayo kulingana na tapo lililoanzishwa na [[Maroni]], [[mwanzilishi]] wa [[monasteri]] maarufu katika [[karne ya 4]].
 
[[Patriarki]] wake anachaguliwa na [[Sinodi]] ya maaskofu wa Kanisa hilo, halafu anamuomba [[Papa]] wa [[Roma]] ushirika kamili. Anaishi [[Bkerke]] ([[LibanoLebanoni]]), ambapo ana [[jimbo]] lake, ingawa anatumia bado jina rasmi la Antiokia.
 
Huko [[LebanonLebanoni]], ni kundi kubwa, ingawa wanazidi kupungua kwa sababu ya kuhamia nchi nyingine.
 
 
Anonymous user