Hernando Cortes : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: mk:Ернан Кортес
→‎Kuhamia Amerika: more reliable map
Mstari 7:
==Kuhamia Amerika==
1504 alisafiri kwenda koloni mpya kwenye visiwa vya [[Karibi]] alipopewa kazi na gavana wa kisiwa cha [[Hispaniola]]. 1511 aliongozana na Diego Velázquez de Cuéllar gavana mpya wa [[Kuba]] akawa katibu wake akatajirika akisimamia migodi ya [[dhahabu]] na mashamba makubwa.
[[image:ConquestRuta ofde Mexico 1519-1521Cortés.svg|thumb|400px|Njia ya msafara wa Cortez]]
 
==Msafara wa kwenda Mexiko==
Mwaka 1518/1519 gavana Velasquez aliandaa msafara wa upelelezi wa Mexiko bara. Hadi wakati ule Wahispania walitawala visiwa kadhaa vya Karibi lakini waliwahi kusikia kuhusu kuwepo kwa dhahabu nyingi barani. Velasquez aliandaa jeshi la Wahispania 670 na jahazi kadhaa akampa Cortez amri ya jeshi hilo. Dakika la mwisho Velasquez alikuwa na mashaka juu ya Cortez akamtuma barua asiende lakini Cortez aliamua kuupuza barua hii na kuendelea na mipango ya safari.