Tofauti kati ya marekesbisho "Nas"

37 bytes added ,  miaka 12 iliyopita
no edit summary
(Picha kutoka commons!)
| Tovuti = [http://nas.defjam.com/ Nas.Defjam.com]
}}
'''Nasir Jones''' (amezaliwa tar. [[14 Septemba]], [[1973]]) ni mwanamuziki wa rap na mwigizaji kutoka nchini [[Marekani]]. Anafahamika zaidi kwa jina lake kisanii kama '''Nas'''. Zamani alikuwa akijiita '''Nasty Nas'''. Nas ni mtoto wa mwanamuziki wa jazz wa zamani Mzee [[Olu Dara]]. Alizaliwa na kukulia katika nyumba za miradi za mjini (nyumba za watu wenye kipato cha chini) [[New York|Queensbridge, New York]].
 
Nas alisaini mkataba na studio ya [[Columbia Records]] mnamo mwaka wa [[1994]], palena kutoa albamu yake ya kwanza ya [[Illmatic]] kutoka. Albamu ya Illmatic ilipata kuwa bora na kufahamika zaidi na mauzo bora.
 
Baadaye albamu kadhaa za Nas zilifuata. Albamu hizo ni pamoja na [[It Was Written]] ya 1996, [[I Am... and Nastradamus]] ya 1999, na [[Stillmatic]] ya 2001. Nas alikuwa mmoja kati ya wanakundi la muziki wa rapna hip hop - [[The Firm]], ambalo limejumlisha wasanii wengine kama vile [[AZ]], [[Foxy Brown]], na [[Nature]]. Ingawa, kundi halikufanya kazi nyingi na badal yake wakatoa albamu moja tu ya pamoja.