Nova Scotia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 1:
[[Image:Nova Scotia, Canada.svg|thumb|right|Nova Scotia ndani ya Kanada]]
[[Image:Flag of Nova Scotia.svg|thumb|right|Bendera ya Nova Scotia]]
'''Nova Scotia''' (kwa [[Kilatini]]. [[Kiswahili]]: ''Uskoti mpya''; [[Kiingereza]]: ''New Scotland''; [[Kigaeli]]: ''Alba nuadh''; [[Kifaransa]]: ''Nouvelle-Écosse'') ni jimbo la [[Kanada]] upande wa mashariki ya nchi. Imepakana na [[New Brunswick]] upande wa magharibi, [[Bahari Atlantiki]] upande wa mashariki. Nova Scotia ni jimbo dogo wa pili la Kanada. Ni moja kati ya Kanada ya majimbo ya bahari 3 (Kiingereza: Maritime provinces).
 
 
Mji mkuu na mji mkubwa ni [[Halifax]].