Bandari asilia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 6:
 
==Mifano ya mabandari asilia==
* [[Dar es Salaam]]: bandari iko katika hori kubwa ambalo ni mdomo pana wa kijito kidogo lenye urefu wa kilomita moja katika beseni ya kwanza na kilomita 3 katika beseni ya kusini. Meli zinaingia kutoka bahari kupitia mlango mwembamba wa 270 m pekee hivyo imelindwa kabisa na mawimbi. Bandari hii asilia ilikuwa sababu ya kuhamishwa kwa mji mkuu wa [[AfrikaAfrica ya Mashariki ya Kijerumani]] kutoka [[Bagamoyo]].
* [[Mombasa]] ina bandari asilia nzuri ya Kilindini ambacho ni pia hori inayoingia ndani. Kisiwa cha Mombasa kipo katika mdomo wa hori baharini. Bandari ya Kilindini ina urefu wa kilomita tano na upana wa kilomita tatu imezungukwa na nchi kavu poande zote hivyo imelindwa kabisa.