Kiowevu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: wo:Yolaakon |
Xqbot (majadiliano | michango) d roboti Nyongeza: la:Liquidum; cosmetic changes |
||
Mstari 1:
[[
'''Kiowevu''' ni moja kati ya [[hali maada]].
Katika hali kiowevu [[atomi]] zina nafasi ya kuachana na kubadilishana mahali. Kwa sababu hii kiowevu hakina umbo maalumu.
Masi ya kilogramu moja ya [[maji]] hukubali umbo la kila chombo kinamomwagwa: ama katika sufuria pana au bomba ndefu nyembamba. Kama maji yaleyale yameganda na kuingia katika hali [[mango]] kama [[barafu]] hauwezi kukubali umbo tofauti.
Kiowevu hukubali badiliko la umbo lakini hakibadiliki mjao na uzani.
Mstari 11:
Dutu inakaa katika hali kiowevu kama
== Atomi katika hali maada mbalimbali ==
<gallery>
Image:Teilchenmodell Fluessigkeit.png|Atomi au molekyuli katika hali '''kiowevu'''
Mstari 19:
</gallery>
== Tazama pia ==
*[[Hali maada]]
* [[Gesi]]
Mstari 25:
* [[Mango]]
[[
[[ar:سائل]]
Mstari 54:
[[ja:液体]]
[[ko:액체]]
[[la:Liquidum]]
[[ln:Bomái]]
[[lt:Skystis]]
|