Friedrich Nietzsche : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: uk:Фрідріх Ніцше
d roboti Nyongeza: gan:尼采; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Nietzsche1882.jpg|thumb|150px|right|Friedrich Wilhelm Nietszche]]
 
'''Friedrich Wilhelm Nietzsche''' (tamka: ''nits-she''; [[15 Oktoba]] [[1844]] - [[25 Agosti]] [[1900]]) alikuwa mwandishi na mwanafalsafa kutoka [[Ujerumani]].
 
== Maisha ==
Alikuwa mtoto wa mchungaji wa Kiluteri akaendelea kusoma lugha za kale za Kilatini na Kigiriki akawa profesa wa lugha za kale kenye chuo kikuu cha Basel. 1879 alipaswa kujiuzulu kutokana na matataizo ya kiafya na tangu 1889 alionyesha dalili za ugonjwa wa akili akaendelea kutunzwa na mama na dadake hadi kifo chake 1900.
 
 
== Maandishi ==
Nietzsche amejulikana kama mwanafalsafa aliyepinga mawazo ya wakati wake na hasa [[Ukristo]]. Huhesabiwa kati ya wapizani wa dini kwa ujumla. Akiwa kijana aliathiriwa na mwanafalsafa [[Schopenhauer]] pamoja na muziki ya [[Richard Wagner]].
 
Mstari 18:
* Sayansi ya kufurahia (Die fröhliche Wissenschaft)
* Akasema Zarathustra (Also sprach Zarathustra)
* Ng'ambo ya Mema na Mabaya (Jenseits von Gut und Böse)
* Kisikusiku cha Miungu (Götzen-Dämmerung)
* Adui wa Kristo(Der Antichrist)
Mstari 25:
* Pambazuko (Morgenroethe)
 
== Maneno kadhaa ==
 
* Mungu amekufa! Na sisi tumemwua. Twajifariji namna gani, sisi wauaji? (Gott ist tot! Gott bleibt tot! Und wir haben ihn getötet. Wie trösten wir uns, die Mörder aller Mörder?)
* Kisichoniua chaniongeza nguvu. (Was mich nicht umbringt, macht mich stärker.)
* Ukiangalia vilindi kwa muda mrefu vinakuangalia pia. (Wenn du lange in einen Abgrund blickst, blickt der Abgrund auch in dich hinein)
* Mwanamke alikuwa kosa la pili la Mungu (Das Weib war der zweite Fehlgriff Gottes.)
*
<!-- interwiki -->
 
[[CategoryJamii:Waandishi wa Ujerumani|Nietzsche, Friedrich]]
[[CategoryJamii:Wanafalsafa wa Ujerumani|Nietzsche, Friedrich]]
 
<!-- interwiki -->
 
[[af:Friedrich Nietzsche]]
Line 68 ⟶ 67:
[[fy:Friedrich Nietzsche]]
[[ga:Friedrich Nietzsche]]
[[gan:尼采]]
[[gl:Friedrich Nietzsche]]
[[he:פרידריך ניטשה]]